Wasifu

Amparo Portilla Crespo, akiwa wa kwanza kwa watoto wanne. Alizaliwa Valencia (Spain), tarehe 26 Mei 1925. Kutokana na kifo cha babake aliyeuwawa katika Vita vya Umba (Spanish Civil War) wakati alikuwa na miaka kumi na miwili tu, kulimfanya akakomaa mapema kiakili na tabia yake ikawa ni ya kutamanika maishani.


Alisomea shule ya upili ya Moyo Mtakatifu, hodella (Valencia) ambapo tarehe 25 mei 1943, alituzwa medali ya Binti wa Maria. Kwa wakati huo alichagua motto usemao Niweke mama, mbali na chochote kitakacho nitenga na wewe, na akaishi kuwa mwaminifu kwa kutimiza motto hiyo. Hakuuahi kusa kuonana na watawa kutoka shuleni kilawakati alikuwa na upendo mkuu na shukrani kwao kwa upendo na elimu bora aliyoipata mikononi mwao. Mwezi wa Mei mwezi wa Bikira Maria ulikuwa mwezi wa maana sana maishani mwake. Mwezi huo alizaliwa, akabatizwa, akapata sakramenti ya komunyo, akasherehekea siku kuu ya mtakatifu wake napia akafa.


Amparo alisomea shanda ya elimu na kuchunga watoto na kufanya kazi ya mafundisho ya kanisa katoliki katika parokia ya Msalaba mtakatifu, mkoa mdogo wa Valencia, akijitolea sana kwa watoto waliokumpwa na umasikini. Mwaka wa 1950 alifunga ndoa na Federico Romero na wakahamia Madird. Ndoa yaoiliku ya furaha na wakafanikiwa kupata watoto 11 ambapo Amparo alikuwa wakati wote mama mwenye upendo na jitianda, mtulivu, mvumilivu, mwnenye bidii kuu, mwenye furahaka kilawakati na mwenye roho ya kusaidia. Aliweka mfano mzuri wa maisha ya mkristu mwema. Alishukuru Mung kila siku kwa baraka zake, ambazo aliona hafai kupewa na aliweza kumpa mungu mashaka yote yaloy9omo kwa wale wanaflahia kuwa yao ni makuu sana kujujua kuvumilia.


Alikuwa mwangalify kila wakati iliasikose nafase ya kuwasaidia wengine. Sanasana, wasio na makao, wanao itaji, wagonjwa na wale ambao walikiuwa mbali na Mungu. Akuwai kosa kuheshimu watu wengine ingawaje hakujihusisha na dhambi, alijaribu kupata njia ya kusifu uzuri wao na kupunguza mabaya yao. Hakuwai kuficha maovu ya yeyote au kuwa na chuki kwa yeyote ingawaje wangemtendea mabaya. Badala yake alikuwa akisameheea na pia kuitafuta njia ya kuwaonyesha upendo.


Februari 1994, Amparo alikubali kwa furaha kama mkristu ugonjwa muhimu sana wa kivua Cancer of the lung Ingawaje alingua, alitumia kuwavutia waliokaribu naye na yeye pia, karibu na Mungu. Alikuwa akijipa moyo sana na kuhisi kuwa maumivu haya yalikuwa yakimwongezea upendo. Hakuwahi kilimaliza hamu yake kwa watu aina yote. Aliugua kwa mda mrefu lakini hakuwahi kulalamika, akimtolea Mungu maumivu yake akiwa na furaha na kuwasaidia wale waliokuwa wakimshugulikia kwa upendo.


Aliaga dunia nyumbani make Madrid mapema asubuhi tarehe 10 Mei 1996. Siku zake za mwisho maishani alikuwa akilitazama sanamu ya Mama Mbarikiwa Our Lady of the Forsaken kiongozi wa mtakatifu Valencia na akwaacha wale waliomjua walitamani walifurahia maisha yake ya kikristu.