Alasiri

Mungu Baba, Muumba wa vyote, ulimjalia bintiyo Amparo neema ya kufaulu katika upendo wake kama mke, mama, aliyejaliwa na huruma na rehema, pia kujitolea kutimiza matakwa ya wengine. Nisaidie mimi pia ili nami kuyafanya mambo yote ya maisha yangu yawe nafasi ya upendo ya kuelekea mbinguni.

Nakusihi utukuze mtumishi wako Amparo na kwa maombi yake, nipatie msaada ninao kuoma (Taja ombi lako hapa)

Amen

Baba yetu, Atukuzwe Baba, Salaam Malkia.